• HABARI MPYA

  Sunday, April 10, 2016

  SPURS YAIKANYAGA MAN UNITED 3-0 KWA DAKIKA SITA TU

  Kiungo wa Tottenham Hotspur, Dele Alli akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 70 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Manchester United kwenye nchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa White Hart Lane. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Toby Alderweireld dakika ya 74 na Erik Lamela dakika ya 76. Spurs inafikisha pointi 65 baada ya kucheza mechi 33 na kuendelea kukaa nafasi ya pili, nyuma ya Leicester City yenye pointi 72 za mechi 33 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YAIKANYAGA MAN UNITED 3-0 KWA DAKIKA SITA TU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top