• HABARI MPYA

  Wednesday, April 20, 2016

  SIMBA BAADA YA KUING'OA ZAMALEK MWAKA 2003

  Wachezaji wa Simba SC kutoka kulia Victor Costa, Ulimboka Mwakingwe na Juma Kaseja wakisaini fulana za klabu hiyo wakati wa mapokezi yao wakitoka mjini Cairo, Misri mwaka 2003 ambako waliitoa Zamalek ya huko katika hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kukata tiketi ya kucheza hatua ya makundi, hiyo ikiwa mara ya pili na ya mwisho Tanzania kufikia hatua hiyo baada ya Yanga kuwa ya kwanza mwaka 1998

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA BAADA YA KUING'OA ZAMALEK MWAKA 2003 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top