• HABARI MPYA

    Wednesday, April 20, 2016

    YANGA SC NDANI YA BORG EL ARAB USIKU WA JANA

    Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi mepesi usiku wa jana kwenye Uwanja wa Borg El Araba mjini Alexandria, Misri kujiandaa na mchezo wa leo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga inahitaji ushindi wa ugenini kwenda hatua ya makundi baada ya awali kulazimishwa sare ya 1-1 Dar es Salaam




    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NDANI YA BORG EL ARAB USIKU WA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top