Suruali ya kocha wa Real Madrid, Zinadine Zidane ikiwa imechanika usiku wa jana wakati akishangilia ushindi wa 3-0 dhidi ya Wolfsburg ya Ujerumani, mabao yote yakifungwa na Cristiano Ronaldo katika mchezo wa marudiano Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Bernabeu na kutinga Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kufungwa 2-0 Ujerumani. Kocha wa zamani wa Barcelona, Pep Guardiola aliwahi kupatwa na mkasa huo katika klabu yake ya sasa Bayern Munich akishangilia ushindi wa 6-1 dhidi ya Porto mwaka jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment