• HABARI MPYA

  Wednesday, April 13, 2016

  DROO YA ASFC KATIKA PICHA JANA AZAM TV

  Meneja wa Kitengo cha MIchezo MIchezo cha Azam TV, Baruwan Muhuza (kulia) akimkabidhi Kombe la michuano ya Shirikisho la Soka Tanzanja (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Fderation Cup (ASFC) Katibu wa TFF, Selestine Mwesigwa (kushoto) usiku wa jana wakati wa upangwaji wa droo ya Nusu Fainali ya michuano hiyo makao makuu ya Azam TV, Tabata, Dar es Salaam
  Kutoka kulia ni mtangazaji wa Azam TV, Philip Cyprian, Maofisa Habari Jerry Muro wa Yanga na Baraka Kizzuguto wa TFF
  Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo 'Julio' (kulia) akifuatilia droo hiyo
  Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba (kushoto) akifuatilia zoezi hilo jana
  Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, Esther Chabruma 'Lunyamila' akiinua timu ya Mwadui wakati wa uchezeshwaji wa droo hiyo
  Kizuguto aliyekuwa Ofisa Habari wa Yanga kabla ya Muro (kulia) wakipiga picha ya pamoja maarufu kama selfie 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DROO YA ASFC KATIKA PICHA JANA AZAM TV Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top