Kinda wa Manchester United, Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 2-1 dhidi ya West Ham United usiku wa Jumatano Uwanja wa Upton Park kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England. Bao lingine la Man United limefungwa na Marouane Fellaini, wakati la West Ham limefungwa na James Tomkins na sasa Mashetani Wekundu watacheza na Everton katika Nusu Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment