• HABARI MPYA

    Thursday, April 14, 2016

    YANGA NA MWADUI FC KATIKA PICHA JANA

    Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimuacha chini beki wa Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1
    Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akimoka beki wa Mwadui FC katika mchezo huo
    Winga wa Yanga, Simon Msuva akijiandaa kupiga mpira mbele ya wachezaji wa Mwadui FC 
    Beki wa Yanga, Juma Abdul akipiga mpira mbele ya beki wa Mwadui FC, David Luhende

    Kikosi cha Yanga cha jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
    Kikosi cha Mwadui FC jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA MWADUI FC KATIKA PICHA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top