• HABARI MPYA

  Monday, April 11, 2016

  AZAM NA ESPERANCE KATIKA PICHA JANA

  Mshambuliaji wa Azam FC,  Kipre Herman Tchetche akiwatoka wachezaji wa Esperance ya Tunisia katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-1

  Kipre Herman Tchetche akimtoka beki wa Esperance jana Uwanja wa Azam Complex

  Kiungo wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Esperance

  Kiungo wa Azam FC, Farid Mussa (katikati) akimpita mchezaji wa Esperance

  Kiungo wa Azam FC, Jean Baptiste Mugiraneza (kushoto) akimdhibiti kiungo wa Esperance 

  Kikosi cha Azam FC kilichomenyana na Esperance jana Azam Complex

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM NA ESPERANCE KATIKA PICHA JANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top