• HABARI MPYA

  Thursday, April 14, 2016

  AZAM FC NA MTIBWA SUGAR MANUNGU JANA

  Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akilazimisha kupasua katikati ya wachezaji wa Mtibwa Sugar jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Manungu, Turiani, Morogoro. Azam FC ilishinda 1-0
  Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Mtibwa Sugar jana manungu
  Winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' kulia akipiga hesabu kumtoka mchezaji wa Mtibwa
  Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Mtibwa, Shiza Kichuya kwenye vidimbwi vya maji Uwanja wa Manungu jana
  Kipre Herman Tchetche akiwa chini mbele ya mchezaji wa Mtibwa Sugar jana
  Kiungo wa Azam, Frank Domayo akimiliki mpira pembeni ya mchezaji wa Mtibwa Sugar
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA MTIBWA SUGAR MANUNGU JANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top