• HABARI MPYA

    Saturday, April 02, 2016

    AGUERO APIGA BONGE LA BAO, MAN CITY YAUA 4-0

    Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero akiruka zaidi ya beki wa Bournemouth kuifungia timu yake bao la tatu katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vitality. Mabao mengine ya City yamefungwa na Fernando, Kevin De Bruyne na Aleksander Kolorov PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AGUERO APIGA BONGE LA BAO, MAN CITY YAUA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top