• HABARI MPYA

  Saturday, April 02, 2016

  ARSENAL NAYO YAIIGA CHELSEA, YAIPIGA WATFORD 4-0

  Alexis Sanchez na Alex Iwobi wakishangilia baada ya wote kuifungia Arsenal katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Watford leo Uwanja wa Emirates kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Hector Bellerin na Theo Walcott PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL NAYO YAIIGA CHELSEA, YAIPIGA WATFORD 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top