Mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku (kulia) akipiga shuti kuifungia timu yake katika ushindi wa 2-0 dhidi ya timu yake ya zamani, Chelsea kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England jana Uwanja wa Goodison Park. Bao lingine la Everton lilifungwa na Lukaku pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, MJINI DODOMA
-
* Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni
akizungumza ...
2 minutes ago
0 comments:
Post a Comment