• HABARI MPYA

    Friday, March 11, 2016

    YANGA NA APR WALIVYOJIFUA KABLA YA MTANANGE BAINA YAO KESHO AMAHORO

    Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa nyasi bandia wa Shirikisho la Soka Rwanda (FERWAFA) jana kujiandaa na mchezo wa kwanza Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika jana mjini Kigali, Rwanda. PICHA ZOTE NA KT RWANDA
    Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa nyasi FERWAFA kujiandaa na mchezo wa Jumamosi utakaofanyika Uwanja wa Amahoro, Kigali, Rwanda.
    Yanga leo wanatarajiwa kufanya mazoezi Uwanja wa Amahoro
    Mazoezi ya Yanga yalivutia watu wengi jana Uwanja wa FERWAFA
    Wapinzani wao, APR walifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Amahoro jana
    APR leo watawapisha Yanga kwenye Uwanja huo wa Amahoro
    APR walionekana wako vizuri kuelekea mchezo huo
    Mashabiki wa Rayon, wapinzani wa APR jana walijitokeza kwa wingi kwenye mazoezi ya Yanga
    Na walikuwa wakiishangilia Yanga kwenye maozezi hayo, kuashiria kwamba wataiunga mkono hata kesho Amahoro

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA APR WALIVYOJIFUA KABLA YA MTANANGE BAINA YAO KESHO AMAHORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top