• HABARI MPYA

  Friday, March 11, 2016

  SIMBA SC NA NDANDA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib (kushoto) akimfunga tela beki wa Ndanda FC, Paul Ngalema katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0
  Beki wa Ndanda, Aziz Sibo akimzuia kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto jana Uwanja wa Taifa
  Kiungo wa Simba, Jonas Mkude (kulia) akimiliki mpira mbele ya beki wa Ndanda, Aziz Sibo
  Mshambuliaji wa Simba, Danny Lyanga akipasua katikati ya wachezaji wa Ndanda
  Mshambuliaji wa Simba, Mussa Mgosi kulia akipambana na beki wa Ndanda jana Uwanja wa Taifa
  Kiungo wa Simba, Awadh Juma akimlamba chenga beki wa Ndanda jana Uwanja wa Taifa

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA NDANDA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top