• HABARI MPYA

  Monday, March 14, 2016

  SIMBA SC NA PRISONS KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Kiungo wa Simba, Awadh Juma Issa (kushoto) akiwalamba chenga wachezaji wa Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0
  Beki wa Simba, Hassan Kessy (kulia) akimzunguka beki wa Prisons jana Uwanja wa Taifa
  Mshambuliaji wa Simba, Mussa Hassan Mgosi akimtoka beki wa Prisons jana Uwanja wa Taifa
  Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Prisons
  Kikosi cha Prisons kilichoanza jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
  Kikosi cha Simba kilichoanza jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA PRISONS KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top