• HABARI MPYA

    Friday, March 11, 2016

    AZAM FC ILIVYOJIFUA UWANJA WA BIDVEST WITS KUJIANDAA NA MECHI YA SHIRIKISHO

    Wachezaji wa Azam FC wakifanya mazoezi jioni ya Alhamisi kwenye Uwanja wa mazoezi wa timu ya Bidvest Wits mini Johannesburg, Afrika Kusini kujiandaa na mchezo wa kwanza Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika Jumamosi baina ya timu hizo
    Beki Serge Wawa (kulia) akiwania mpira dhidi ya mshambuliaji Didier Kavumbangu
    Wachezaji wa Azam FC wakifanya mazoezi jioni ya Alhamisi kwenye Uwanja wa mazoezi wa timu ya Bidvest Wits mini Johannesburg, Afrika Kusini 
    Wachezaji wa Azam FC wakifanya mazoezi jioni ya Alhamisi kwenye Uwanja wa mazoezi wa timu ya Bidvest Wits mini Johannesburg, Afrika Kusini 
    Mshambuliaji Ame Ally 'Zungu' akiwania mpira mbele ya kipa Aishi Manula
    Kocha wa makipa, Iddi Abubakar (kulia) akikimbia taratibu na vijana wake, Aishi Manula na Mwadini Ally

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOJIFUA UWANJA WA BIDVEST WITS KUJIANDAA NA MECHI YA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top