• HABARI MPYA

    Wednesday, March 02, 2016

    CHELSEA YANG'ARA ENGLAND, LEICESTER CITY YAPUNGUZWA KASI KING POWER

    Diego Costa wa Chelsea akiushuhudia mpira ukitinga nyavuni baada ya kumchambua kipa wa Norwich katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumanne Uwanja wa Carrow Road. Chelsea ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Kenedy na Coasta, wakati la wenyeji lilifungwa na Nathan Redmond  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    Riyad Mahrez (kushoto) wa Leicester City akiwania mpira dhidi ya Claudio Yacob wa West Bromwich Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumanne uliomalizika kwa sare ya 2-2 Uwanja wa King Power. Mabao ya Leicester yalifungwa na Danny Drinkwater na Andy King wakati ya WBA yalifungwa na Salomon Rondon na Craig Gardner  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YANG'ARA ENGLAND, LEICESTER CITY YAPUNGUZWA KASI KING POWER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top