![]() |
| Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu akiwatoka mabeki wa Malawi |
![]() |
| Mbwana Samatta akimlamba chenga kipa wa Malawi, Simplex Nthala kabla ya kufunga bao la kwanza |
![]() |
| Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Malawi, Yamkani Fadya |
![]() |
| Kiungo chipukizi wa Tanzania, Farid Mussa akimtoka beki wa Malawi, Stanley Sanudi |
![]() |
| Beki wa Tanzania, Shomary Kapombe akimtoka beki wa Malawi, Gerald Phiri |








.png)
0 comments:
Post a Comment