Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibinuka tik tak kuwafungia Los Blancos bao la pili dakika ya 64 baada ya kufunga la kwanza dakika ya nne katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Juventus kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Turin. Bao la tatu la Real Madrid lilifungwa Marcelo kwa pasi ya Ronaldo, huku Juventus ikimpoteza mchezaji wake, Paulo Dybala aliyetolewa nje kwa kadio nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 66 kufuatia kumuinulia mguu kichwani Dani Carvajal PICHA ZAIDI GONGA HAPA
US House panel to vote on bill to give Congress authority over AI chip
exports
-
NEW YORK, Jan 21 (Reuters) - A key Republican lawmaker scheduled a
committee vote on Wednesday for a bill that would give Congress power over
artificial in...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment