• HABARI MPYA

  Monday, April 09, 2018

  NINI LWANDAMINA ALIKUWA ANAMUAMBIA PONDAMALI HAPA JUMAMOSI TAIFA?

  Kocha Mkuu wa Yanga SC, Mzambia George Lwandamina (kushoto), akizungumza na kocha wa makipa, Juma Pondamali wakati wa mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Wolaita Ditcha ya Ethiopia Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0 
  Juma Pondamali (katikati) Jumamosi alichukua majukumu ya ujumla ya Ukocha Msaidizi, kutokana na kutokuwepo kwa Mzambia Noel Mwandila na mzawa, Nsajigwa Shadrack ambao walikuwa wanatumikia adhabu. Kulia ni Daktari wa timu, Edward Bavu 
  George Lwandamina ni kocha mweledi mno na mwenye mipango ya kutosha ya ushindi 
  Benchi la Yanga wakati mchezo na Wolaita Ditcha ukiendelea
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NINI LWANDAMINA ALIKUWA ANAMUAMBIA PONDAMALI HAPA JUMAMOSI TAIFA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top