• HABARI MPYA

  Sunday, April 08, 2018

  MKANGWA NA SABEBE WALIKUWA ‘FOWADI’ HATARI NGORONGORO HEROES 1998

  Washambuliaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes, Abubakar Mkangwa (kushoto) na Abdallah Sabebe (kulia) wakipambana na wachezaji wa Ghana U20 katika mchezo wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka (AFCON U20) mwaka 1998 Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru mjini Dar es Salaam
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MKANGWA NA SABEBE WALIKUWA ‘FOWADI’ HATARI NGORONGORO HEROES 1998 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top