• HABARI MPYA

  Sunday, April 01, 2018

  MESSI ATOKEA BENCHI KUINUSURU BARCELONA NA KICHAPO LA LIGA

  Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kusawazisha dakika ya 89 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Sevilla Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla usiku wa Jumamosi baada ya kuingia dakika ya 58 kuchukua nafasi ya Ousmane Dembele. Sevilla walitangulia kwa mabao ya Franco Vazquez dakika ya 36 na Luis Muriel dakika ya 50, kabla ya Luis Suarez kuifungia Barca dakika ya 88 na Messi dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI ATOKEA BENCHI KUINUSURU BARCELONA NA KICHAPO LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top