Shabiki wa Simba SC akila chipsi jukwaani wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simbe imeshinda 3-1
Shabiki huyu alikuwa anamaanisha mchezo wa leo wa Simba ambao ni wa kiporo
Mashabiki wengine wa Simba wakifuatilia mchezo wa leo kwa umakini
Kama ilivyokuwa kwa hawa wengine wakipata burudani leo Uwanja wa Taifa
Hawa ni mashabiki wa Yanga waliojitokeza kuwapa sapoti watani wao, Simba
Pegula ends Keys title defence to win 'gross' apple pie bet
-
Jessica Pegula ends Madison Keys' Australian Open title defence to reach
the quarter-finals and win a "gross" apple pie bet.
1 hour ago


.png)
0 comments:
Post a Comment