• HABARI MPYA

    Sunday, April 08, 2018

    MASHABIKI, MAGWIJI NA WACHEZAJI WA YANGA WALIVYOBURUDIKA NA NAFSI ZAO JANA TAIFA

    Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya timu yao na Wolaita Ditcha ya Ethiopia. Yanga ilishinda 2-0
    Shabiki huyu wa Yanga akiwa amejichora majina ya wachezaji
    Hawa wawili walitumia fursa yao kujipiga picha za ukumbusho jana 
    Hawa wao walikuwa wanashangilia muda mwingi wa mchezo
    Katikati ni msanii mchekeshaji maarufu wa kwenye Televisheni, Ulimboka Mwalulesa 'Senga' akifurahia na mashabiki wenzake wa Yanga
    Hawa ni magwiji wa Yanga, Sekilojio Chambua (kushoto) na Mohammed Hussein 'Mmachinga' kulia 
    Kulia ni mshambulia wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa ambaye alikosekana jana kwa sababu ya kadi za njano
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MASHABIKI, MAGWIJI NA WACHEZAJI WA YANGA WALIVYOBURUDIKA NA NAFSI ZAO JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top