• HABARI MPYA

    Wednesday, April 11, 2018

    LIVERPOOL YAIPIGA MAN CITY 2-1 ETIHAD NA KUTINGA NUSU FAINALI

    Roberto Firmino na Mohamed Salah wakishangilia baada ya kuifungia mabao mawili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Manchester City kwenye mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne. Salah alifunga la kwanza dakika ya 56 na Firmino la pili dakika ya 77, kufuatia Gabriel Jesus kuanza kuifungia Man City dakika ya pili Uwanja wa Etihad na sasa Liverpool inakwenda Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-1 baada ya kushinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza Uwanja wa Anfield wiki iliyopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    Loading...
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YAIPIGA MAN CITY 2-1 ETIHAD NA KUTINGA NUSU FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

    PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

    Scroll to Top