• HABARI MPYA

    Monday, April 02, 2018

    DELE ALLI ALIPOFUNGA MABAO MAWILI SPURS IKIIPIGA 3-1 CHELSEA

    Dele Alli akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Tottenham Hotspur dakika za 62 na 66 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Chelsea usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Spurs likifungwa na Christian Eriksen dakika ya 45 na ushei wakati la Chelsea lilifungwa na Alvaro Morata dakika ya 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DELE ALLI ALIPOFUNGA MABAO MAWILI SPURS IKIIPIGA 3-1 CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top