• HABARI MPYA

  Friday, January 19, 2018

  WENGER AMREJESHA SANCHEZ ARSENAL KUIVAA CRYSTAL PALACE KESHO

  Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akiwa na mshambuliaji wake, Alexis Sanchez mazoezini leo viwanja vya Colney, London baada ya kumrejesha nyota huyo kikosi cha kwanza kuelekea mchezo na Crystal Palace kesho Uwanja wa Emirates. Ikumbukwe Wenger alimundoa Mchile hiyo kikosi cha kwanza na kwenda kufanya mazoezi na timu ya watoto akitarajia uhamisho wake kwenda Manchester United ungekamilika mapema PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WENGER AMREJESHA SANCHEZ ARSENAL KUIVAA CRYSTAL PALACE KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top