Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger anayetumikia adhabu ya kufungiwa na Chama cha Soka (FA), akishuhudia kutoka jukwaani timu yake ikichapwa mabao 2-1 na wenyeji AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vitality. Mabao ya Bournemouth yamefungwa na Callum Wilson dakika ya 70 na Jordon Ibe dakika ya 74, wakati la Arsenal limefungwa na Hector Bellerin dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Nigeria’s economy contracted in April, fell to 49.4 –CBN
-
• FG’s reforms only good on paper, says Methodist Church By Uche Usim
Nigeria’s economy slowed down in April 2026 after more than a year of
steady growth...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment