• HABARI MPYA

  Sunday, January 21, 2018

  TAIFA STARS YA MWAKA 1981 KAJOLE, MAHADHI, PETER TINO NDANI

  Kikosi cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars mwaka 1981; Waliosimama kutoka kushoto ni; Hussein Ngulungu, George ‘Best’ Kulagwa, Juma Mkambi, Peter Tinno, Salim Amir, Mohamed Salim, Mohamed Kajole, Omari Mahadhi, Himid na kipa kutoka Zanzibar. Waliochuchumaa ni Ibrahim Kapenta, Shaaban Ramadhan, Shaaban Katwila, Omar Hussein, Leopold Mukebezi ‘Tasso’, Thuwein Ally na Hassan Zitto.
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS YA MWAKA 1981 KAJOLE, MAHADHI, PETER TINO NDANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top