• HABARI MPYA

  Monday, January 15, 2018

  SUAREZ AFUNGA MAWILI BARCELONA YAITANDIKA REAL 4-2 LA LIGA

  Mshambuliaji Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 50 na 71 katika ushindi wa kwanza wa ugenini dhidi ya Real Sociedad tangu mwaka 2007, wakitoka nyuma kwa 2-0 na kushinda 4-2 usiku wa jana Uwanja wa Manispaa ya Anoeta, Donostia-San Sebastian. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Paulinho dakika ya 39 na Lionel Messi dakika ya 85, wakati ya Real yalifungwa na Willian Jose dakika ya 11 na Juanmi dakika ya 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SUAREZ AFUNGA MAWILI BARCELONA YAITANDIKA REAL 4-2 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top