• HABARI MPYA

    Sunday, January 14, 2018

    SIMBA SC YA MOGELLA NA ‘FATHER’ PAZI, KIHWELO ILITAMBA 1991

    Wachezaji wa Simba SC, kutoka kushoto beki Jamhuri Kihwelo ‘Mrema’, kipa Iddi Pazi ‘Father’ na mshambuliaji Zamoyoni Mogella kabla ya moja ya mechi zao za Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati mwaka 1991 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC YA MOGELLA NA ‘FATHER’ PAZI, KIHWELO ILITAMBA 1991 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top