• HABARI MPYA

  Thursday, January 18, 2018

  KOCHA MPYA SIMBA SC ALIVYOSHUHUDIA MNYAMA AKIISULUBU SINGIDA

  Kocha mpya mtarajiwa wa Simba SC, Mfaransa Pierre Lechantre (kulia) akiwa na msaidizi wake, kocha wa viungo, Mmorocco Mohammed Aymen Hbibi (katikati) wakati wa mchezo wa timu hiyo dhidi ya Singida United jioni ya leo Uwanja wa Taifa.
  Simba imemkaribisha Mfaransa huyo kwa ushindi wa 4-0 kwenye mechi hiyo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA SIMBA SC ALIVYOSHUHUDIA MNYAMA AKIISULUBU SINGIDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top