Mshambuliaji Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao yote dakika za 34, 63 kwa penalti na 83 ikishinda 3-1 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Bao pekee la The Magpies limefungwa na Jacob Murphy dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
MWENYEKITI HALMASHAURI YA MOROGRO ATAJA MBINU KUTUA MIGOGORO YA ARDHI
-
*Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii *
*IMEELEZWA watu pekee wanaoweza kumaliza migogoro ya ardhi nchini ni pande
mbili ambazo zipo kwenye mgogoro na si vi...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment