• HABARI MPYA

  Monday, December 18, 2017

  SUAREZ AFUNGA MAWILI BARCELONA YAITANDIKA 4-0 DEPORTIVO LA CORUNA

  Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 29 na 47 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Deportivo La Coruna usiku wa jana Uwanja Camp Nou, mabao mengine yakifungwa na Paulinho dakika za 41 na 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SUAREZ AFUNGA MAWILI BARCELONA YAITANDIKA 4-0 DEPORTIVO LA CORUNA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top