• HABARI MPYA

  Saturday, December 16, 2017

  RONALDOOOOOOO...REAL MADRID BINGWA WA DUNIA TENA KWA REKODI

  Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akipiga mpira wa adhabu kiufundi kuifungia bao pekee la ushindi Real Madrid dakika ya 53 ikiichapa 1-0 Gremio ya Brazil katika fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA leo Uwanja wa Sheikh Zayed Sports City mjini Abu Dhabi. Real inaweka rekodi ya kuwa klabu ya kwanza kutetea taji hilo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDOOOOOOO...REAL MADRID BINGWA WA DUNIA TENA KWA REKODI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top