• HABARI MPYA

    Saturday, December 16, 2017

    ALONSO AING'ARISHA CHELSEA, YAILAMBA 1-0 SOUTHAMPTON

    Marcos Alonso akiifungia Chelsea bao pekee la ushindi dakika ya 45 na ushei ikiilaza Southampton 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ALONSO AING'ARISHA CHELSEA, YAILAMBA 1-0 SOUTHAMPTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top