• HABARI MPYA

  Sunday, December 17, 2017

  PEP NI NOMA, MAN CITY YAISHINDILIA SPURS 4-1 ETIHAD

  Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola akifurahia ushindi wa 4-1 wa timu yake usiku wa Jumamosi dhidi ya Tottenham Hotspur Uwanja wa Etihad. Mabao ya Man City yamefungwa na  Ilkay Gundogan dakika ya 14, Kevin De Bruyne dakika ya 70 na Raheem Sterling mawili dakika za 80 na 90, wakati la Spurs limefungwa na Christian Eriksen dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PEP NI NOMA, MAN CITY YAISHINDILIA SPURS 4-1 ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top