• HABARI MPYA

  Sunday, December 17, 2017

  ZANZIBAR ILIYOWAPIGA 1-0 UGANDA DESEMBA 9, 1995 NA KUBEBA MWALI WA CHALENGE

  Kikosi cha timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ kabla ya mchezo wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge dhidi ya wenyeji, Uganda ‘The Cranes’ Desemba 9, mwaka 1995 Uwanja wa Nakivubo mjini Kampala.  Zanzibar Heroes ilishinda 1-0 na kubeba Kombe, bao pekee la Victor John ‘Bambo’.  
  Kutoka kulia waliosimama kocha Hafidh Badru, Shekha Khamis, Abdulrahman Mussa, Sabri Ramadhani ‘China’, Victor John Bambo, Nassor Salum ‘Cholo’, Seif Khalfan, Issa Gazza, Nassib Salum na Shaaban Ramadhan.
  Waliochuchumaa kutoka kulia ni Riffat Said (marehemu), Said Mohamed ‘Makapu’, Juma Shekha, Hassan Ramadhani Wembe, Salum Ali, Mbegu Mohamed, Uzia Abdallah, Simai Hajji (marehemu), Mohammed Shaaban ‘Kachumbari’ na Mbarouk Suleiman.
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZANZIBAR ILIYOWAPIGA 1-0 UGANDA DESEMBA 9, 1995 NA KUBEBA MWALI WA CHALENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top