• HABARI MPYA

  Wednesday, December 06, 2017

  JUVENTUS YAIPIGA 2-0 SPORTING NA KUMALIZIA KILELENI

  Paco Alcacer akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 59 akiunganisha kona ya Denis Suarez katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sporting Lisbon usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao la pili Jeremy Mathieu alijifunga dakika ya 90 na ushei na sasa kikosi cha kocha Ernesto Valverde kinakwenda 16 Bora kama kinara wa kundi kwa pointi zake 14 mbele ya Juventus iliyomaliza na pointi 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JUVENTUS YAIPIGA 2-0 SPORTING NA KUMALIZIA KILELENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top