• HABARI MPYA

  Wednesday, December 06, 2017

  JUVENTUS YAIKANDAMIZA OLYMPIACOS 2-0 UGIRIKI NA KUTINGA 16 BORA

  Winga wa zamani wa Chelsea, Juan Cuadrado akikimbia kushangilai baada ya kuifungia Juventus bao la kwanza dakika ya 15 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Olympiacos Uwanja wa Georgios Karaiskaki mjini Piraeus, Ugiriki. Bao la pili lilifungwa na Federico Bernardeschi dakika ya 89 na sasa Juventus inafikisha pointi 11 na kumaliza nafasi ya pili kwenye Kundi D, nyuma ya vinara, Barcelona wenye poinit 14 hivyo wote wanakwenda 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JUVENTUS YAIKANDAMIZA OLYMPIACOS 2-0 UGIRIKI NA KUTINGA 16 BORA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top