• HABARI MPYA

  Friday, December 15, 2017

  AZAM FC ILIVYOJIFUA LEO KUJIANDAA KUIKABILI VILLA SQUAD KESHO

  Kiungo Mcameroon wa Azam FC, Stephane Kingue Mpondo akimiliki mpira mazoezini leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kirafiki kesho dhidi ya Villa Squad kuanzia Saa 1:00 usiku  
  Mshambuliaji chipukizi, Shaaban Iddi aliyekuwa majeruhi pia akiwa mazoezini leo
  Mshambuliaji mpya Mghana, Bernard Arthur akiwa mazoezini leo
  Kipa Mghana, Razack Abalora akidaka mpira mazoezini leo
  Winga Mghana, Enock Atta-Agyei akifurahia mazoezini leo
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOJIFUA LEO KUJIANDAA KUIKABILI VILLA SQUAD KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top