• HABARI MPYA

    Saturday, October 14, 2017

    ZAHA AWALAZA MAPEMA CHELSEA, WAFA 2-1 SELHURST PARK

    Wilfried Zaha akimchambua kipa wa Chelsea, Thibaut Courtois kuwafungia wenyeji, Crystal Palace bao la pili dakika ya 45 katika ushindi wa 2-1 jioni ya leo Uwanja wa Selhurst Park mjini London. Chelsea
    walianza kwa kujifunga kupitia kwa mchezaji wao, Cesar Azpilicueta dakika ya 11 kabla ya Tiemoue Bakayoko kusawazisha dakika ya 18 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ZAHA AWALAZA MAPEMA CHELSEA, WAFA 2-1 SELHURST PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top