• HABARI MPYA

  Saturday, October 14, 2017

  MAN CITY YA GUARDIOLA 'YAFUNGULIA MBWA', YAICHAPA 7-2 STOKE

  Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili 17 na 55 katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Stoke City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Raheem Sterling dakika ya 19, David Silva dakika ya 27, Fernandinho dakika ya 60, Leroy Sane dakika ya 62 na Bernardo Silva dakika ya 79, wakati ya Stoke City yamefungwa na Mame Diouf dakika ya 44 na Kyle Walker aliyejifunga dakika ya 47 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YA GUARDIOLA 'YAFUNGULIA MBWA', YAICHAPA 7-2 STOKE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top