• HABARI MPYA

  Wednesday, October 11, 2017

  UFARANSA NAO WAILIMA BELARUS 2-1 NA KUFUZU URUSI 2018

  Wachezaji wa Ufaransa wakiongozwa na Nahodha wao, kipa Hugo Lloris kushangilia jana baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Belarus kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Mabao ya Ufaransa ambayo inafanikiwa kukata tiketi ya kwenda Urusi mwakani yalifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 27 na Olivier Giroud dakika ya 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UFARANSA NAO WAILIMA BELARUS 2-1 NA KUFUZU URUSI 2018 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top