• HABARI MPYA

    Wednesday, October 11, 2017

    RONALDO NA URENO WASHINDA 2-0 NA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    Nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo akiwa juu kupiga kichwa katika mchezo wa Kundi B kufuzu Kombe la Dunia jana dhidi ya Uswisi Uwanja wa Michezo wa Lisboa e Benfica, Luz mjini Lisboa timu yake ikishinda 2-0 na kukata tiketi ya kwenda Urusi mwakani kwa mabao ya Johan Djourou aliyejifunga dakika ya 41 na Andre Silva aliyefunga la pili dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO NA URENO WASHINDA 2-0 NA KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top