• HABARI MPYA

    Sunday, October 22, 2017

    SIMBA SC NA NJOMBE MJI FC KATIKA PICHA JANA UHURU

    Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimiliki mpira mbele ya beki wa Njombe Mji FC, Ahmed Adiwale katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0
    Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Njombe Mji, Laban Kambole katika mchezo wa jana 
    Mshambuliaji Mghana wa Simba, Nicholaus Gyan akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Njombe Mji FC, Laban Kambole
    Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akiondoka na mpira jana Uwanja wa Uhuru 
    Mshambuliaji wa Simba, Mrundi Laudit Mavugo pamoja na kumpita kipa wa Njombe Mji, David Kissu hapa, lakini hakufunga
    Kiungo wa Simba SC, Muzamil Yassin akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Njombe Mji
    Beki wa Simba, Erasto Nyoni akipiga krosi mbele ya beki wa Njombe Mji, Claide Waigenge
    Beki wa Njombe Mji FC, Laban Kambole akigeuka na mpira kumpiga chenga winga wa Simba, Shiza Kichuya
    Kikosi cha Simba kilichoanza jana Uwanja wa Uhuru 
    Kikosi cha Njombe Mji FC kilichoanza jana Uwanja wa Uhuru
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA NJOMBE MJI FC KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top