• HABARI MPYA

  Wednesday, October 11, 2017

  ROBBEN AIFUNGIA MAWILI UHOLANZI LAKINI YAZIKOSA FAINALI

  Mkongwe Arjen Robben akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili Uholanzi dakika za 16 kwa penalti na 40 ikishinda 2-0 dhidi ya Sweden jana kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Amsterdam ArenA mjini Amsterdam. Lakini ushindi huo haujaisaidia Uholanzi kufuzu Kombe la Dunia baada ya kuzidiwa wastani wa mabao na Denmark kufuatia kulingana kwa pointi 19 katika nafasi ya pili. Denmark inaungana na Ufaransa walioongoza kundi kwa pointi zao 23 kwenda Urusi mwakani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROBBEN AIFUNGIA MAWILI UHOLANZI LAKINI YAZIKOSA FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top