• HABARI MPYA

  Monday, October 23, 2017

  NEYMAR ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU, PSG YATOA SARE 2-2 NA MARSEILLE

  Refa Ruddy Buquet akimuonyesha kadi nyekundu mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Neymar Junior dakika ya 87 baada ya kumuonyesha kadi ya pili njano dakika mbili tu baada ya kumuonyesha kadi ya kwanza ya njano katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Velodrome mjini Marseille. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2, mabao ya PSG yakifungwa na Neymar dakika ya 33 na Edinson Cavani dakika ya 90 na ushei, wakati ya Marseille yalifungwa na Luiz Gustavo dakika ya 16 na Florian Thauvin dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU, PSG YATOA SARE 2-2 NA MARSEILLE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top