• HABARI MPYA

    Saturday, October 14, 2017

    MKAO WA WENGER KUELEKEA VICARAGE ROAD LEO, JICHO KWA WILSHERE

    Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akimuangalia kiungo wake, Jack Wilshere akifanya mazoezi jana kujiandaa na mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Watford Uwanja wa Vicarage Road ambao utakuwa wa kwanza kwake msimu huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MKAO WA WENGER KUELEKEA VICARAGE ROAD LEO, JICHO KWA WILSHERE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top