• HABARI MPYA

  Saturday, October 14, 2017

  BAKAYOKO KUCHUKUA MAJUKUMU YA KANTE CHELSEA

  Kiungo Tiemoue Bakayoko (kulia) akiwa mazoezini na Chelsea jana kujiandaa kwa mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Crystal Palace Uwanja wa Selhurst Park mjini London. Bakayoko atakuwa na mechi saba za kucheza nafasi ya N'golo Kante ambaye ni majeruhi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAKAYOKO KUCHUKUA MAJUKUMU YA KANTE CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top